Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hatujambo kamanda mkuu, habari za majukumuWakuu hamjambo?
Majukumu yalichanganya balaa ila sasa kuna kaupenyo. Likes kama kawa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Twasema.
Karibu tena kijiweniMajukumu yalichanganya balaa ila sasa kuna kaupenyo. Likes kama kawa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante. Hapa ni home. Always. Ndo maana hata katika mbanano nilikuwa napita kuwapa haki yenu kimya kimya...Karibu tena kijiweni