Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tanzanianweddings___BtKdUc4geU2___.jpg
 
Eti "...kwa kuwa wakati furani nakuona unapendelea udaku...". Umenichekesha sana aisee. Udaku una raha zake hasa ukiwa na siteresi. Angalizo tu ni kutokuufakamia sana vinginevyo utajikuta umepachikwa umama au uanaume wa Dar [emoji16][emoji16][emoji16]

Hayo ya wanasiasa wala hayashangazi. Wapo kazini kutafuta ugali na hakuna jipya. Kesho na keshokutwa utawasikia tena wamegeuza gia angani na kutenda kinyume na sasa. Hawafai !!!

Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums - JamiiForums
 
Back
Top Bottom