andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hata sijui tulimkosea nini Mungu hadi akatukabidhi kwa mianasiasa ndio ituongozeEti "...kwa kuwa wakati furani nakuona unapendelea udaku...". Umenichekesha sana aisee. Udaku una raha zake hasa ukiwa na siteresi. Angalizo tu ni kutokuufakamia sana vinginevyo utajikuta umepachikwa umama au uanaume wa Dar [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo ya wanasiasa wala hayashangazi. Wapo kazini kutafuta ugali na hakuna jipya. Kesho na keshokutwa utawasikia tena wamegeuza gia angani na kutenda kinyume na sasa. Hawafai !!!