Mmm..Most men claim wako singo..
Am fine ankooo karibu mbegeHawa yuu ankoo [emoji137][emoji137]View attachment 1052182
Kila mtu yuko single. Au anaye mmoja tu. A Statistical impossibility [emoji16][emoji16][emoji16]Mmm..Most men claim wako singo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo napitia mafaili. Inavyoonekana hakukuwa na vurugu yo yote. I love you guys [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli. Cha muhimu uzima tu kwa kweli. Vifo kila kona na mtu ukifanikiwa kuamka asubuhi ni kumshukuru Mungu. TRM naona ilikufa japo nami ni memba siku hizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapito tuliyo yapitia yametunyoosha. Mwenyekiti wa TRM ametingwa hata kutamka "shikamoo baba" anashindwa. Jambo la kumshukuru Mungu ni huu uhai na afya njema anayo tupa kila siku
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ankooAm fine ankooo karibu mbegeView attachment 1052183
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ankoo
Halafu ankoo kuna kamfumo umekaanzisha ka kukomenti kwa neno moja tu "Duhh" kila mahali nilipo kuona, unataka kusema hata kama uzi ni wa kumsifia Diamondi utakomenti neno hilo tu?
Kuna siku nilizifumania umezimwaga picha tena zile za limsamaki.... Kweli adui mpendeNi kweli. Cha muhimu uzima tu kwa kweli. Vifo kila kona na mtu ukifanikiwa kuamka asubuhi ni kumshukuru Mungu. TRM naona ilikufa japo nami ni memba siku hizi.
Nina kolekisheni kubwa sana. Tena za kila aina. TRM tu wakilianzisha nami nalikoroga. Kama mbwai mbwai tu [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna siku nilizifumania umezimwaga picha tena zile za limsamaki.... Kweli adui mpende
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hadi nikapata hofu, binti mpole amenishtua sana kipindi cha siku tatu za nyuma[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Labda anamuiga jirani....