Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Kiongozi wa vurugu hajapita mda mrefu😀😀😀Nipo napitia mafaili. Inavyoonekana hakukuwa na vurugu yo yote. I love you guys [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiongozi wa vurugu hajapita mda mrefu😀😀😀Nipo napitia mafaili. Inavyoonekana hakukuwa na vurugu yo yote. I love you guys [emoji16][emoji16][emoji16]
Sawa Ankoo nimekuelewa.Ankoo kuna saa wino unabaki kidunchu tu kutosha neno duh! Diamond siku hizi kachapika hadi huruma,magazeti nimeyahamishia kwa tununu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiiiNina kolekisheni kubwa sana. Tena za kila aina. TRM tu wakilianzisha nami nalikoroga. Kama mbwai mbwai tu [emoji16][emoji16][emoji16]
The mighty fisher.. Jamaa aki descend lazma a ascend na msosi.The end....
View attachment 1052179
Dogo atakua kakamatwa kwenye matesti ma asainiment bado magrupu diskasheni na makuizi si mchezo. Salamu zitafika akiibuka tuSawa Ankoo nimekuelewa.
Huyu dogo ningendako hajafungua chuo? Ameadimika sana, msalimie sana ukionana nae
Kiongozi kwema?Kiongozi wa vurugu hajapita mda mrefu[emoji3][emoji3][emoji3]