Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilikuwa naona unapita kimya, nilishangaa ila sikuogopa maana uliwahi fanya hivyo huko nyuma, karibu tena tuburudikeAsante. Hapa ni home. Always. Ndo maana hata katika mbanano nilikuwa napita kuwapa haki yenu kimya kimya...
Kugonga likes ni rahisi kuliko kuanza kufukunyua vitu kuposti. Unagonga likes wakati wa break halafu huyoo unatia simu mfukoni unarudi kwenye majukumu.Nilikuwa naona unapita kimya, nilishangaa ila sikuogopa maana uliwahi fanya hivyo huko nyuma, karibu tena tuburudike
Kweli.. Mkuu habari...kwema huko?
😂😂😂😂😂😂
Hapa uliongoni tuko vizuri, sidhani kama kuna kipya labda kwakuwa wakati furani nakuona unapendelea udaku huenda wadau wa udaku watajibu.Kugonga likes ni rahisi kuliko kuanza kufukunyua vitu kuposti. Unagonga likes wakati wa break halafu huyoo unatia simu mfukoni unarudi kwenye majukumu.
Nimepitwa na nini? Hakuna aliyetushambulia ile kanda pendwa nihangaike naye? [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku kwema jirani. Kuna nini kipya hapa?Kweli.. Mkuu habari...kwema huko?
Hapa uliongoni tuko vizuri, sidhani kama kuna kipya labda kwakuwa wakati furani nakuona unapendelea udaku huenda wadau wa udaku watajibu.
Habari kubwa jamiiforums ni mwanasiasa mkongwe, Waziri Kiongozi mstaafu, muasisi wa mageuzi , mmoja wa waasisi wa ukawa, Seif Sharrif Hamad , ajiondoa CUF na kujiunga na ACT Wazalendo na kuviacha vyama 3 vya CHADEMA, NCCR Mageuzi na NLD ambavyo alishirikiana navyo kuunda Ukawa.
Sijui niliona uzi au niliona wapi story yao nikawagoogle wiki hii inayoisha.Siwapatii picha majiraniWapiga kelele hawa.View attachment 1052055View attachment 1052056
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro umejuaje 😀😀
Nilishawahi kudokoa mboga bro. Utamu wake balaa [emoji16][emoji16][emoji16]Bro umejuaje [emoji3][emoji3]
Mnaendeleaje humu?
Salama bro.Wakuu hamjambo?