Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti "...kwa kuwa wakati furani nakuona unapendelea udaku...". Umenichekesha sana aisee. Udaku una raha zake hasa ukiwa na siteresi. Angalizo tu ni kutokuufakamia sana vinginevyo utajikuta umepachikwa umama au uanaume wa Dar [emoji16][emoji16][emoji16]

Hayo ya wanasiasa wala hayashangazi. Wapo kazini kutafuta ugali na hakuna jipya. Kesho na keshokutwa utawasikia tena wamegeuza gia angani na kutenda kinyume na sasa. Hawafai !!!
Hahahahaha, kicheko mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
FB_IMG_1553337960522.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]shukuru nimekusifia ,tulidhan umetekwa na misabwax bana busy kulima kilimo adimu sana nchini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeponea chupuchupu kumbe,hakuna cha msambwanda wala nn,kazi ya bro ile,kutekwa hadi kunyimwa nywila sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom