Aisee,,Naona Nabii kafa kaoza kabsa.Bro Ninge yupo au naye majukumu yamemkaba? Kuna nabii huku amevamia dada zake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1052181
Hahahahaha, kicheko mkuuEti "...kwa kuwa wakati furani nakuona unapendelea udaku...". Umenichekesha sana aisee. Udaku una raha zake hasa ukiwa na siteresi. Angalizo tu ni kutokuufakamia sana vinginevyo utajikuta umepachikwa umama au uanaume wa Dar [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo ya wanasiasa wala hayashangazi. Wapo kazini kutafuta ugali na hakuna jipya. Kesho na keshokutwa utawasikia tena wamegeuza gia angani na kutenda kinyume na sasa. Hawafai !!!
Kwema mkuu,tupo salama,tunamshukuru Muumba,ni kheri kusikia kuwa upo salama pamoja na familia yako[emoji120][emoji120]Kwema kabisa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi weye Mkuu na wote uwapendao?
Hahahaha,Huyu samaki dah! Kaingia mdomoni mwa mamba literally. RIP Mr fish....
View attachment 1052149
Kwema mkuu,tupo salama,tunamshukuru Muumba,ni kheri kusikia kuwa upo salama pamoja na familia yako[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbweha ananyakuliwa mzimamzimaFight for your family even if your enemy is stronger than you !!!
View attachment 1052150
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]shukuru nimekusifia ,tulidhan umetekwa na misabwax bana busy kulima kilimo adimu sana nchini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata ww Esta,unanipiga jungu[emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema, tuna zidi kusonga mbele kwa mwendo wa kuringa huku tukimtukiza Baba aliye juu kwa hii pumzi ya bure anayo tupatia.Kwema kabisa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi weye Mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeponea chupuchupu kumbe,hakuna cha msambwanda wala nn,kazi ya bro ile,kutekwa hadi kunyimwa nywila sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]shukuru nimekusifia ,tulidhan umetekwa na misabwax bana busy kulima kilimo adimu sana nchini