Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
👌👌👌🎶🎶🎵🎵 Bad company feeels so goooood
Ulishafika?[emoji23][emoji23]kwimba na misungwi kuna mafundi wa ajabu. Unampelekea nguo hii akushonee anashona ileee ipatikanayo kwenye ramani ya ubongo wake
Sitaki siteresi mimi. Mniwache. Na kuhama vyama kawaida tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1052350
HahahahahLaivu ndani ya TRM. Kama mbwai mbwai tu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1052354
Ankooo upo vizuriKifuani kwa mwenye tishet ya bluu? Anko whaiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mambo ya Kolomije haya haswaa[emoji23]Pushapu hizo mbona hata Mkulu alipiga nazo picha
Kama vile siyo wewe. Umejivika mikoba ya uongozi wa TRM sasa. Dunia hii ukistaajabu ya Musa....Hovyo kabisa bro...
😁😁😁😁
Kabisaaa. Lazima nisindikizie na kaugali aisee otherwise hapatalalika [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio mkuu hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii itakuwa ni kule Koromije lol!
Pushapu muhimu wewe...Hata Unyirambani huko. Mademu weupe warefu wale bila pushapu za kutosha waweza chemsha...
Bro dah !!![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wameshindikana hawa wallah
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wameshindikana hawa wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka nilipo hadi kwimba nauli 4000,misungwi nauli 3000Ulishafika?
Nmeshika mikoba ya kazalamu,,kuhakikisha TRM hapoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huyu dogo ndo kakabidhiwa mikoba ya TRM ama? Sijaelewa yaani...
View attachment 1052398