Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nmeshika mikoba ya kazalamu,,kuhakikisha TRM hapoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata robo ya Kazaramo hufikii. Unaendesha TRM kiloko bana. Kale kalikuwa na swaga yaani kakiweka ishu kunakuwa na mantiki ndani yake na kimchomo fulani hivi. Yaani lazima uumie tu hata ujikaze namna gani. We unaweka kwa kulazimisha lazimisha hata swaga huna. Nakamisi sana Kazaramo kangu jamani. I hope kako salama huko kaliko...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Whooiiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…