Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui huwa wanawaza nini hawa watuView attachment 1052463
Nasikia kuna ishu kama hii ilitokea hapa JF somewhere imenipita...

Mara nyingi ni "ni zangu tu hataziona mwingine" halafu kesho na keshokutwa penzi limekufa visasi juu ya visasi au simu inaibiwa...au inaharibika unaipeleka kwa fundi. Yanakuwa yale yale yaliyowapata akina Nsia Swai na shoga yake wakati wakisoma SAUT.
 
Hii ya JF bana ilikua huko JLW kma upo huko ndo imekupita kama haupo haijakupita
 
Hahaha, Nsia Swai na beshte ake still the best so far so good.. Yule beshte ake ndo my fav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…