Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ENEO LA KUMI NA MBILI; JAMII.

Unaishi kwenye jamii, na hivyo mafanikio yako hayajakamilika kama hayaigusi jamii inayokuzunguka. Unapaswa kuwa unatoa kwa jamii yako, ili inufaike na mafanikio yako pia. Hata kile unachofanya (kazi au biashara), lazima kiwe na manufaa kwa jamii.
 
Nitazisaka hizi ishu nizifuatilie kwa ukaribu. Zinaelimisha na mwandishi amejitahidi sana kwa kweli....
 
VIWANGO VYA KUJIWEKEA; chagua maeneo ambayo ungependa kutoa mchango wako kwa jamii kisha weka utaratibu wa kutoa mchango huo. Iwe ni kupitia misaada mbalimbali, kujitolea na hata kazi unayofanya kuwa na manufaa kwa jamii yako.
 
Rafiki, haya ndiyo maeneo 12 ya kuweka mlinganyo kwenye maisha yako ili uwe na mafanikio makubwa na maisha yenye furaha. Usipuuze hata eneo moja, kwa sababu kushindwa kwenye eneo moja, kutayavuruga sana maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…