Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
🤣🤣🤣🤣 dah umenikumbusha mbali..
Atatoka kwenye kabatiHuyu Samenya huyu naye mhhh....
View attachment 1053039
🤣🤣🤣 Hakishauliki kitu
Mmm havizoelekekagi💉💉💉
Six pack.. Dah ...
Aimen[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1053023
Umeona eee.. silent ones
ZARABerlin Germany View attachment 1052847
Nchi ya maziwa na asali.. kumbe huu msemo ndio unapotokeaVyakula gani utumie ili kuondoa tatizo la msongo wa mawazo
Tumia mchanganyiko wa asali na maziwa kwenye kikombe cha chai na unywe kila siku kabla ya kulala: jinsi ya kutengeneza. Chemsha maziwa yako, yachuje kisha weka kiasi kwenye kikombe, kisha chukua vijiko viwili vya asali wek na uchanganye kisha kunywa taratibu kama hutumii asali basi tumia almond au rozi kwa lugha ya Kiswahili ama unaweza kutumia maziwa ya nazi.