Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lakini, mkopo huo ulionekana kama kichekesho tu, maana Kallstrom ndiye mwenyewe aliyekuja kupata majeruhi tena ambayo yalimfanya asicheze kwa wiki sita na hivyo mechi ya kwanza akacheza Machi. Kiungo huyo alicheza mechi nne tu kwenye kikosi hicho ikiwamo ile ya nusu fainali ya Kombe la FA aliyotokea benchi na kuja kufunga penalti dhidi ya Wigan Athletic.