Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
🤣🤣🤣🤣🤣Hata hiyo simu sikua nimeiona!!
🤣🤣🤣🤣🤣Hata hiyo simu sikua nimeiona!!
This time akwendeeMan u dream team ya maana,kweli mou alikua sahihi bifu lake na huyu jamaa
Wacha nikumbuke nitakuambia.Ahadi ni deni
Mliahidiana nini kingine?
Nimekosa kiemoji cha PinocchioWacha nikumbuke nitakuambia.
Nmetafuta maana ya hicho ki emoji naambiwa hivi et!?Nimekosa kiemoji cha Pinocchio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawaza wapi?
Duh! sio kila kitu cha gogo..😁😁Nmetafuta maana ya hicho ki emoji naambiwa hivi et!?
"Often used to convey flirtation or sexual innuendo" Ulikusudia kufanya nini??
Ila katokelezea ama?
Dah itapendeza mkuu,now nipo sana hapa,ngoja nizisubiriMkuu kuna kazi nzuri ntakuwekea baadae. Nilikuwa nazo tokea 2012 nikahisi nimezipoteza sasa juzi nimezikuta kwa bahati tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahaHapana Bro, SHIMBA YA BUYENZE hakumbuki lakini sisi tunakumbuka! Muhimu atekeleze ahadi yake otherwise na mimi nitasahau ahadi zote tumepeana humu!!