Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salah alitua Liverpool akitokea katika soka la Italia katika dirisha kubwa la majira ya joto mwaka 2017 ambapo alinunuliwa kwa dau la Pauni 39 milioni akitokea katika klabu ya Roma ikiwa ni baada ya kuchemsha katika soka la England akiwa na Chelsea.
 
Juventus tayari imemnasa kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey ambaye aligoma kusaini mkataba mpya na atatua bure mwishoni mwa msimu huu baada ya kumaliza mkataba wake na Arsenal na anatazamiwa tayari uhamisho huo ulitangazwa.
 
Relationship is sex, if you want goals go to the stadium
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
 
(CNN)A Boeing 737 Max 8 aircraft from the fleet that was grounded after two deadly crashes made an emergency landing in Florida on Tuesday(26-03-2019).
No passengers were aboard Southwest Airlines Flight 8701, which was being ferried from Orlando International Airport to Victorville, California, for short-term storage during the grounding, the airline said.
 
Haya mandege ni bomu !!!
 
Dirisha lijalo la majira ya kiangazi linatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa sana kutokana na kudaiwa litahusisha masupastaa wa maana ambao bila ya shaka ada zao za uhamisho zitakuwa zimechangamka si chini ya Pauni 100 milioni. Orodha ya mastaa wa maana wanaotajwa watahama mwishoni mwa msimu huu ni ndefu na baadhi yao ni Toni Kroos, Kalidou Koulibaly na Gareth Bale.
 
Back
Top Bottom