Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uliniyeyusha iPhone hivi hivi mchana kweupe bro. Hata mkweche ulioacha kuutumia ukashindwa kweli kuutumia kutimiza ahadi yako. Sad !!![emoji16][emoji16][emoji16]
Bro unakosa kumbukumbu, nilisema nitajitahidi kabla ya kuisha kwa mwaka huu!! Sasa ni march 27 does that accusation make any sense ??

Tunataka utimize ahadi yako au LA! Nitasahau kama niliahidi kitu kwako!!
 
Bro unakosa kumbukumbu, nilisema nitajitahidi kabla ya kuisha kwa mwaka huu!! Sasa ni march 27 does that make any sense ??

Tunataka utimize ahadi yako au LA! Nitasahau kama niliahidi kitu kwako!!
Unahamisha magoli tu yaani. Kuisha mwaka huu una uhakika gani tutakuwepo? Ahadi hutimizwa papo kwa papo. Nimechoka na TECNO bro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…