Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sina uhakika zaidi ila ni kama wanamaanisha mzeeUnajua maana yake?
Mzee kwa Kinyiramba mnaitaje? Au nawe ni sawa na maandaetini wengine humu wasiojua hata salamu katika lugha za wazazi wao? Unajua kusalimia Kinyiramba?Sina uhakika zaidi ila ni kama wanamaanisha mzee
Kuna watu wamepewa zawadi na Muumba na wanatumia ipasavyo zawadi zao, nikitizamwa hivyo natoa vyote nilivyonavyo!!Ama ni Rwanda au Uhabeshi...
Hata iPhone uipendayo kwa moyo wako wote? Noooo weiiii [emoji16][emoji16]Kuna watu wamepewa zawadi na Muumba na wanatumia ipasavyo zawadi zao, nikitizamwa hivyo natoa vyote nilivyonavyo!!
Kwani ulikuwa unangojea? Wale watatu hawajakupa headache bado?