Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
You are a jiniazi bro
Wange tufanya watumwa, wanawake wabaya sana!!Kwa kweli hakuna....
They run the world.....sema tu tuna bahati hawajui nguvu waliyonayo...
Ndivyo ilivyo bro. Hata siku ile nilijaribu kukukomalia sana kuhusu ishu ya R. Kelly ili kukutisha lakini ukawa ngangari. May be kwa vile hatujuani but people perceive us the way we project ourselves here and elsewhere else. Mimi hata nikionana na watu humu picha waliyonayo ni Shimba mpenda misambwanda; and the implications are not pretty [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwenyewe nime pause kwanza kutafakari hili, sikujua kama angekua na hilo kichwani sababu ilikuwa discusssion ya watu watatu tu. Nmeshangaa sana!! Kuna watu wanatusoma na wanatuchukua kama walivyo tusoma, hii ni hatari sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Capital bana. Wabaya ukiingia kwenye anga zao...(endi vaisi vesa)Wange tufanya watumwa, wanawake wabaya sana!!
Wacha Mungu aitwe Mungu.
Say something please...
Salamu najua bhana,sema kuongea ndio ishu,ila kusikia nasikia vyema tu,,,Mzee kwa Kinyiramba mnaitaje? Au nawe ni sawa na maandaetini wengine humu wasiojua hata salamu katika lugha za wazazi wao? Unajua kusalimia Kinyiramba?
How are you today?Say something please...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Capital bana. Wabaya ukiingia kwenye anga zao...
🤣🤣🤣You are a jiniazi bro
View attachment 1055625
Hahaha jf bwana ... kwa hiyo huipendi?Kuna watu humu wanatunza kumbukumbu balaa. Mimi hii misambwanda hii inanikosti mno. Hata nikimsalimia tu demu hapa JF basi utasikia "we mpenda misambwanda wewe utakuwa hujatulia wewe". Ifike mahala watu watofautishe porojo za kwenye kahawa na maisha halisi bana...Go bro [emoji109][emoji109][emoji109]
Aisee. This is very sad. So maandaeitini wote wa humu hamjui lugha za kikwenu isipokuwa prof. peke yake.Salamu najua bhana,sema kuongea ndio ishu,ila kusikia nasikia vyema tu,,,
Salamu nafahamu pia,mfano Ulaileani =habari za asubuhi
Ai emu faini. Ungenitwanga shikamoo ingependeza zaidi [emoji16][emoji16]How are you today?