Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446615710_473602.jpeg
 
Aisee. This is very sad. So maandaeitini wote wa humu hamjui lugha za kikwenu isipokuwa prof. peke yake.

So guys who are you? Trend hii ikiendelea, Kinyiramba kitakuwa na hali gani huko mbele ya safari? Kuna thamani yo yote kuwa Mnyiramba? Unaweza kuwa Mnyiramba hata kama hujui Kinyiramba na utamaduni wa Kinyiramba?

Kuna mvuvumko mkubwa wa watu kujitambua wao ni nani katika dunia hii kwa sababu utamaduni na lugha yako ndivyo hasa vinafinyanga falsafa na mitazamo yako. Utasikia wazee wakisema "Mwanaume wa Kinyiramba hawezi kufanya hivi. Wanyiramba huwa hatuko hivi..."...lakini nyie kizazi kipya mpo mpo tu rolo modozi wenu akina Justini Biba....

Halafu eti ndiyo umekubali kubeba mikoba ya uenyekiti wa TRM. Unatushambulia weee kumbe mwenyewe wala hujijui ni nani. Utuwache indeed wallahi usije ukanifanya nikahama Masaki Peninsula [emoji16][emoji16][emoji16]
Umeongea maneno ya hekima sana bro,ila kutokujua kuongea Kinyiramba,sio kwamba sijui tamaduni zangu,nazifahamu vyema,tatzo ni hapo kwenye kuongea tu

Maisha pia yanachangia mambo kama haya kutokea,vijana wa kizazi hiki wengi wao hatuna tena muda wa kujua chimbuko lako,jambo ambalo sio zuri,tunapoteza vitu vingi sana

Kutokujua lugha yangu haikwamishi mm kuwa memba mtiifu wa TRM,tena kindakindaki hasa[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom