Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeongea maneno ya hekima sana bro,ila kutokujua kuongea Kinyiramba,sio kwamba sijui tamaduni zangu,nazifahamu vyema,tatzo ni hapo kwenye kuongea tu

Maisha pia yanachangia mambo kama haya kutokea,vijana wa kizazi hiki wengi wao hatuna tena muda wa kujua chimbuko lako,jambo ambalo sio zuri,tunapoteza vitu vingi sana

Kutokujua lugha yangu haikwamishi mm kuwa memba mtiifu wa TRM,tena kindakindaki hasa[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…