FAHAMU KUVAA JINSI YA BLUU MARUFUKU KOREA KASKAZINI. Kama utatembelea nchi ya Korea Kaskazini, fahamu kwamba ni kosa la jinai kuvaa jeans ya bluu ,na kama ikitokea ukakiuka na kwenda kinyume na zuio hilo basi jela itakuhusu. - Makosa mengine yanayoweza kukupeleka jela nchini Korea Kaskazini ni pamoja na kuangalia televisheni, kucheza muziki, kucheka hadharani, kuamini katika dini na kutoa maoni.