Ni ngumu sana kutofautisha porojo na uhalisia humu.Kuna watu humu wanatunza kumbukumbu balaa. Mimi hii misambwanda hii inanikosti mno. Hata nikimsalimia tu demu hapa JF basi utasikia "we mpenda misambwanda wewe utakuwa hujatulia wewe". Ifike mahala watu watofautishe porojo za kwenye kahawa na maisha halisi bana...Go bro [emoji109][emoji109][emoji109]
Siku ukionana na Numbisa Fragaria au carbamazepine usije ukashangaa kama watavaa madira.Uwaelewe 😀😀😀Ndivyo ilivyo bro. Hata siku ile nilijaribu kukukomalia sana kuhusu ishu ya R. Kelly ili kukutisha lakini ukawa ngangari. May be kwa vile hatujuani but people perceive us the way we project ourselves here and elsewhere else. Mimi hata nikionana na watu humu picha waliyonayo ni Shimba mpenda misambwanda; and the implications are not pretty [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sioni mvaa dera hapo. Hawa wote watoto wa kishua utashangaa kuanzia chini mpaka juu ni Gucci tupu ng'wanawane...Vimodo na madera wapi na wapi bro?Siku ukionana na Numbisa Fragaria au carbamazepine usije ukashangaa kama watavaa madira.Uwaelewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Na kwako pia bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usiku mwema!