Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wajikubali, Waridhike kwamba waliyafanya yote kwa manufaa ya nchi yao, kwenda Ikulu kupewa mkono na rais haikuwa kipaumbele chao, lililo kubwa kwao ni mafanikio ya nchi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kumpa peter tino peke yake 5 M ni ubaguzi tukubali Rais wetu ama washauri wake wamekosea kwenye hili
 
..Tuishi nao kwa tahadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…