Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fisiiiiii....
1e79ef68468c2454bcb06664d4d9cc08.jpeg
 
Upende usipende, wazazi wameingia kwenye mitandao ya habari ya jamii , na yaelekea hawataacha kuitumia.
Ni njia nzuri ya mawasiliano- na mara nyingi inachekesha unapomuona mzazi wako akijaribu kujipiga selfies au akitumia ishara ya hisia fulani kujibu ujumbe.
 
Sharenting" -ikimaanisha mtindo wa wazazi kushirikisha jamii habari na picha za watoto wao mtandaoni - ni jambo lililovuma kwenye taarifa za habari baada ya Gwyneth Paltrow kutuma picha yake na binti yake mwenye umri wa miaka 14- Apple Martin wakiteleza kwenye barafu.
 
Zaidi ya watu 150,000 walibonyeza ishara ya kuipenda picha, lakini Apple hakufurahia hilo aliandika kwenye ukurasa wake wa kibinafsi wa Instagram: "Mama tulilijadili hili. usitume kitu chochote bila ruhusa yangu."
Paltrow alijibu: "Huwezi hata kuona uso wako!"
 
Back
Top Bottom