Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nafikiri kumpa peter tino peke yake 5 M ni ubaguzi tukubali Rais wetu ama washauri wake wamekosea kwenye hili
Mh aliona uchovu aliokua nao Tino ni tofauti na Tenga aliyekuwa mbele yake, nadhani aliingiwa na huruma.
Hata hivyo wachezaji walio kwenye ubora wao hivi sasa wajifunze kwa wenzao hao ambao wengi wao maisha yamekua magumu kwao.
 
..Tuishi nao kwa tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20190323-WA0004.jpeg
 
Back
Top Bottom