Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4bd18cb94ca54d4f209afcb3268c8021.jpeg
 
Ukurasa wake ulikuwa unaweza kutazamwa na kila mtu, kwa hiyo nilihisi usalama wangu uko hatarini. Sikutaka picha zangu nikiwa mchanga zionwe na kila mtu, na nilifahamu kuwa kutokana na Google, unaweza kutafuta jina la mtu kwa kutumia picha yake. Na kwake kuendelea kutuma picha zangu zaidi mtandaoni, makampuni ya teknolojia yana data zangu zaidi juu ya sura yangu.
 
kuna umuhimu wa wazazi kuzingatia ruhusa ya watoto wao wanapotuma picha zao mitandaoni?
Prof Siibak anasema wazazi wengi wanahisi kuwa , kama mtu mzima, wanawajibika kwa hali bora ya waotot wao ,na hawahitaji ruhusa ya mtoto ilimtradi wanaamini kuwa picha hazina madhara
Hata hivyo , anasema kuwa wazazi wanapaswa'' kabisa'' kuzingatia hofu za taarifa za kibinafsi za watoto wao kama kitu muhimu zaidi.
 
Kuwa na mazungumzo rahisi yanayowahusisha watoto juu ya aina za picha wanazopenda, au kama ni sawa kuziweka mtandaoni , husaidia kujenga uhusiano mzuri kati ya mzazi na mtoto."
Mara nyingi wazazi huweka taratibu kali za matumizi ya mtandao kwa watoto wao ili kulinda taarifa zao binafsi, lakini "taratibu hizo zinaonekana kuwahusu watoto tu na zi watu wazima katika familia ".
 
Ni vipi unaweza kuwashawishi wazazi wako kubadili namna wanavyotumia mitandao ya kijamii?
Ni vigumu - hasa kwasababu hakuna njia za kawaida au za kisheria za kuwazuwia kutuma taarifa mtandaoni. mara kwa mara njia ya kutumia ni ya ushawishi au kuafikiana.
Konrad anapendekeza njia iliyo bora ni kuwaomba wazazi kwa unyenyekevu ambazo wanaweza kuzielewa.
"Ninaweza kusema ni vipi ungejihisi babu yangu angetuma picha za mambo yanayokuaibisha kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti?. Enzi zenu, picha zilikwa zinapotea , lakini sasa kila kitu kiko mtandaoni na hakiwezi kutoka daima."
"Ni njia yao ya kukuonyesha ni kwa kiasi gani wamewakosa na kuwakumbuka watoto wao [wanapokuwa hawaishi pamoja] - hiyo ndio sababu kuu niliamua kutomkataza kabisa mama yangu kutuma picha zangu."
 
Back
Top Bottom