Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Haha kusubiri muda mrefu ni kama kautumwa flani hv,,Kule wanasubiria kwa siku kadhaa sio miezi,pia mie sipend ongoing navuta kitu kilichokamilika. Ongoing mateso sana
Mambo vp Numbisa?upo salama ww?