capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Morning broMorning guys
Good morningGood morning Tanzania
Njema, habari yakoHabari za asbh Watanzania
Swafi mwanafamiliaHabari za asbh familia ya likes
AlhamdulillahTumshukuru mwenye enzi Mungu Mkuu kwa kuiona siku hii ya leo
Lakini hatupo nao
yes mimi si mtu wa malumbano, niliona ni busara kupoteza pambano kuliko kuendelea kubishana.Hahahaha mkuu kawaida
Kuna sehemu ulikuwa unamkosoa Great conqueror kuhusu nani mfalme bora kabisa wa korea kupata kutokea nilipenda yale malumbano
washonaji wa nguo za zamani popote mulipo ahsanteni sana kwa kuwavalisha wazee wetu suruali za wanawake wa india