Haha kusubiri muda mrefu ni kama kautumwa flani hv,,Kule wanasubiria kwa siku kadhaa sio miezi,pia mie sipend ongoing navuta kitu kilichokamilika. Ongoing mateso sana
Hahaha ankoo huyo[emoji16][emoji16]View attachment 1056754
akimaliza kusoma kurasa mbili apewe hongera kwa pozi lake
Mkuu nasoma mabandiko yako kwenye Uzi wa Korean Drama hakika unanikoshaakimaliza kusoma kurasa mbili apewe hongera kwa pozi lake
Za asbh mkuuMawe yaporomoka Kitonga kutokana na mvua zinzoendelea mkoani Iringa na kuleta Taharuki kwa wasafiriView attachment 1056787
dah! kumbe unafukuza mwizi kimya kimya.Mkuu nasoma mabandiko yako kwenye Uzi wa Korean Drama hakika unanikosha
Napenda sana Korean drama hasa historical nafuatilia kuliko maelezo hakuna unachokosea
Hongera sana
Hahahaha mkuu kawaidadah! kumbe unafukuza mwizi kimya kimya.
ahsante sana brother