Habari yako Kamanda MkuuEmbe kama hilo kubwa organic limejikuza lenyewe mtini bila madawa na upuuzi mwingine hapa nilipo linaweza kuuzwa mpaka dola 5+. Nimepiga mahesabu ya haraka haraka hapa dah ! Mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Jukwaa lao hakuna banSanaaaa wana matusi hao nadhani kuliko sisi. Kuna wakati nilikuwa kwenye JamiiForums ya Kenya wakianza kutukakana nilikuwa nasoma kimya kimya nakubaki nikishangaa halafu wengi Kiswahili chao ni kibovu sana.
Hahah basi mm nilijua umejizatiti vyema,usijari sasa hv ntakuwa beneti kutoa ulinziSubutu nilikuwa najikaza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subutu nilikuwa najikaza tu π€£π€£π€£π€£
Hujaona comment yangu nilikuwa namuita Mama Sabrina aje kunisaidia π€£π€£π€£π€£π€£Hahah basi mm nilijua umejizatiti vyema,usijari sasa hv ntakuwa beneti kutoa ulinzi
Jukwaa lao hakuna ban
Hujaona comment yangu nilikuwa namuita Mama Sabrina aje kunisaidia π€£π€£π€£π€£π€£
Niliiona hiyo comment,nikasema ndugu yangu vp tena,anahitaji msaada wakat kala ng'ombe mzma bado mkia pekee[emoji2][emoji2]Hujaona comment yangu nilikuwa namuita Mama Sabrina aje kunisaidia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwema mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha mkuu Wakenya ukiwachokoza ujipange bora hata jukwaa la Siasaπ€£π€£π€£π€£
Ais
Aisee, mbaya sana.
Kwema mkuu?
Habari ya uzima
Huku kwema pia,tunamshukuru Muumba,wote tu wazima kabsa,Uwe na weekend njema ndugu yangu.Kwema kabisa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu vipi weye Mkuu na wote uwapendao?
ππππNashukuru kuna member akaja kunisaidia nikapata kaupenyo sikuludi tena kwenye ule uzi.Niliiona hiyo comment,nikasema ndugu yangu vp tena,anahitaji msaada wakat kala ng'ombe mzma bado mkia pekee[emoji2][emoji2]
Huku kwema pia,tunamshukuru Muumba,wote tu wazima kabsa,Uwe na weekend njema ndugu yangu.