Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dictator Jean Bedel Bokassa of Central African Republic .
1966-1979
FB_IMG_1553875692480.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uamuzi mgumu, wa kijinga ni uamuzi wa kukurupuka.
Nimewaona wengi waliokurupuka kwa njia hiyo.
Mwenyezi Mungu amuhifadhi mahali panapostahiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi kunakuwa na trigger nyingine. Mtu anakuwa na ishu zingine ama za kisaikolojia au mental na hii inakuwa kama kijazilizio tu...
 
Dictator Mabutu Seseseko kuku Ngbendu wa Zabanga of Zaire ( DR Congo)- 1965-1997View attachment 1057367

Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wa Afrika. Wanatumiwa na Marekani weeeee halafu wanaishia kutupwa kama takataka. Halafu hawasomi alama za nyakati mapema. Huyu walimtumia kumuua Lumumba kwa hofu ya Ukomunisti, wakaiba madini ya Kongo kwa miaka na miaka na kuifanya nchi yake kuwa kituo cha kupitishia silaha kwenda kwa akina Savimbi na vibaraka wengineo . Upepo ulipobadilika wakamuacha. Sad !!!
 
Sanaaaa wana matusi hao nadhani kuliko sisi. Kuna wakati nilikuwa kwenye JamiiForums ya Kenya wakianza kutukakana nilikuwa nasoma kimya kimya nakubaki nikishangaa halafu wengi Kiswahili chao ni kibovu sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom