Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Queen Farida of Egypt
FB_IMG_1553876320204.jpeg
 
Eti kamanda mkuu. Wa misambwanda labda [emoji16][emoji16][emoji16]

Habari njema kabisa. Nipo kwenye buffett moja matata sana hapa liwalo na liwe. Sala zenu please [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wamisambwanda, Mgumu kutoka kanda ile ile[emoji16][emoji16] hapo kwenye buffet ikibidi kinukishe tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wamisambwanda, Mgumu kutoka kanda ile ile[emoji16][emoji16] hapo kwenye buffet ikibidi kinukishe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Buffett nimepakimbia. Ningedhurika [emoji16][emoji16][emoji16]

Kanda ile bana ina raha zake hasa ukute TRM yote imekusanyika mbona utapenda?
 
Halafu akaenda kufia Morocco peke yake na kuzikwa huko huko bila shamra shamra wala madoido. Na maalmasi yote yale akayaacha.
Ukiishi kwa upanga kwenye nchi yako omba Mungu ufe mapema, vinginevyo lazima utafia ugenini. Madikteta wengi hapo juu walifia ugenini baada kukimbia kesi nchini mwao
 
Back
Top Bottom