Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa kweli hapana labda tu itokee mambo ya dry spell as in simba akizidiwa...ila kwenye haya mambo you never know. Unaweza ukadatishwa na Kakimbaumbau matata mpaka ukashangaa. Kwema lakini huko?Hahaha hizi sio taipu yako kabisa Bro [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sent using Jamii Forums mobile app