Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanaume mashine

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji46]
449015882_369152~2.jpeg
 
Hivi inawezekanaje kama mbunge kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo yenye siku kadhaa, ilhali umeomba kwa ridhaa yako kufanya kazi hiyo tena bila taarifa yoyote?
Siyo bure, sikubaliani na utetezi wa aina yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Utetezi wake hauna mashiko sana. Eti alikimbiza mke wake akajifungulie Marekani ili awe na uraia wa huko. Dogo mjanja si ajabu "kaunga mkono" juhudi kiaina. Kama ni hivyo ngoja tusubiri. Akilimwa ubalozi ndo itajulikana vizuri. Siasa sihasa !!!
 
Back
Top Bottom