Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Tanzania jeeeMaendeleo yanataka kazi...no shortcuts
View attachment 1057228
DuuuuuSalama mkuu,,mamanzi wa Kenya hawawez kuvaa wigi kwa kuwa wana makomwe?Mungu anakuona wallah[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha ule uzi niliukimbia maana waliniludia kwa matusi mkuu Ushawahi kufika Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo anazuga, itakuwa tayari keshaongea kwa herufi kubwa, akaona aondoke kiaina
Hahaha[emoji16][emoji16]ungebakia upambane naoJamaa walinitukana nikaona isiwe tabu ngoja nikimbie kumbe ulikuwa unafatilia why hukuja hata kunitetea ndugu yako
Ni kutoka ile kanda yetu pendwa ama? [emoji16][emoji16][emoji1545]Ukiachana na mare riya vipi hizo chata za kwenye big G apo kitandani? Mambo ya Kizaman sanaView attachment 1057258
Uamuzi mgumu, wa kijinga ni uamuzi wa kukurupuka.
Haya mambo ni magumu. Richard apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Imagine mtu unamaliza kuaga halafu unatumbuliwa. Madaraka matamuuu !!!
Umeshakisoma hichi?
Hatari,kawahi kusepa na chai ikahairishwaImagine mtu unamaliza kuaga halafu unatumbuliwa. Madaraka matamuuu !!!