Haya mambo ni magumu. Ukipaniki tu hapa unaweza kujikuta hata mjurubeng unakuleti dauni [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1057528
[emoji106][emoji106]Ndiyo ameshinda, kwakuwa amepata ushindi kwa njia ya haki na kwakuwa kipindi cha mwanzo ameongoza nchi yake kwa haki yafaa tumsamehe kwa yale mabaya aliyofanya huko nyuma
Mbona nilikuwepo mkuu !saa 6 usiku umetokoweka ghafla, saa 11 alfajiri umerudi kwa speed ya 5G
Kamanda za kuamka![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamanda za kuamka!
Alyequm salam bibie,,kaifa??Asalam alakum, bwana asifiwe.