Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Master Sergeant Samuel Kenyon Doe of Liberia.
Alitawala Liberia toka mwaka 1980-1990.
Samuel Doe aliingia madarakani baada ya kumuua rais William Talbart Jr akiwa na cheo cha chini kijeshi cha Master Sergeant.
Samuel Doe alitawala Liberia kwa ncha ya Upanga. Mara baada ya kuingia madarakani kwenye mapinduzi yaliyoshuhudia umwagaji mkubwa wa damu, Doe aliendelea kuua wanasiasa wengi hasa wale waliokua kwenye serikali ya Tolbert
 
Yeye mwisho wake ndo ulikuwa mbaya zaidi. Kukatwa dushe na masikio akiwa hai kisha kuburuzwa uchi nyuma ya jeep katika barabara za Monrovia huku umma ukishangilia...
 
Kwenye madaraka hakuna kuaminiana. Compaore, rafiki yake waliyesoma pamoja na kufanya kila kitu kiswahiba sana ndiyo akaja kumgeuka na kumuua kisha kumzika kwenye kifusi cha tingatinga la Halmashauri kama mbwa.

Hata hivyo vijana baadaye walikuja kuvuvumka, wakamfurusha Compaore akakimbilia uhamishoni, wakafukua mwili wa shujaa wao na kumzika upya kwa heshima zote za kitaifa. Kaburi lake leo ndiyo ishara ya mapambano na vijana wakitaka kuandamana kudai haki zao hukusanyika kwanza katika kaburi la shujaa wao aliyewapa Burkina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…