Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Viongozi wa Afrika. Wanatumiwa na Marekani weeeee halafu wanaishia kutupwa kama takataka. Halafu hawasomi alama za nyakati mapema. Huyu walimtumia kumuua Lumumba kwa hofu ya Ukomunisti, wakaiba madini ya Kongo kwa miaka na miaka na kuifanya nchi yake kuwa kituo cha kupitishia silaha kwenda kwa akina Savimbi na vibaraka wengineo . Upepo ulipobadilika wakamuacha. Sad !!!
Marekani taifa hatari sana
 
Back
Top Bottom