Mmmh history tena.. dahUlitaka ubadili uende HGK au KLF ama?
Likely PCB MD wewe [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sayansi mbona pana tu!Ulitaka ubadili uende HGK au KLF ama?
Likely PCB MD wewe [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Pamoja kk, wacha nisubiri likes khe khe kheKama mtihani hauna maswali usiulize majibu kamanda. Gonga likes twende sawa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuwa na vinyama nyama hasa ile sehemu pendwa siyo vibaya...Hahaha... ili nifutuke. . wewe
Just joking...ezi yujo [emoji16]Sayansi mbona pana tu!
Nani huyo andaeitini halafu anajifanya mhenga?Ngoja aje bro Shimba huyu ndiye mtambuaje wa maandaeitin kwenye huu uzi
Mmh I will freeze to death
Nipo bro...
🤣🤣🤣🤣Nani huyo andaeitini halafu anajifanya mhenga?
Long Distanceeee!!! sizitaki tena hizi..
Actually wapo wenye hayo mahaba niue.. kuna jamaa yetu mmoja (ke) kauza nyumba 2 za dingi wake...
Wanawake walimzimikiaga huyu felon jeremy meeky kwenye mug shot yake.. mpaka amekuwa model alivyotoka
Samehe x 70[emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1057953