Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SANI ABACHA.
Sani Abacha alikua kiongozi wa saba kati ya majenerali wanane wa jeshi waliotawala kwa zamu taifa hilo kubwa barani Afrika.
Utawala wa Sani Abacha ulikua mgumu sana kwa wanigeria.
Ifahamike, Sani Abacha alipora madaraka toka kwa Kiongozi wa mpito Ernest Shonekani baada ya utawala wa Ibrahim Babangida kuchezea matokeo ya uchaguzi yaliyokua yanaelekea kumpa ushindi mfanyabiashara Moshood Abiola.
Uchaguzi wa mwaka 1993 kati ya waliokua marafiki wawili wa Jenerali Babangida, Bashir Tofa na Moshood Abiola ulivurugwa na Utawala wa Babangida baada ya Abiola kuhitilafiana na Babangida wakati wa kampeni.View attachment 1058061
Naomba nifahamishe historia ya hizo alama zake usoni
 
Air Tanzania
IMG-20190314-WA0017.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 40 nami nipo 60 now [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitendo cha kucheka umenipa maswali mawili kwa wakati mmoja je nimekosea swali au nimepatia [emoji848]
Thubut, hata 40 siamini kama ushagusa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kwa hiyo huyu pia na yeye ni andaeitini bro?
 
Jinsi unavyojitahidi kuingia kwenye kundi la wahenga 😜😜😜mie avatar nilidhani ni weye ukiwa kazini hadi uliposema ni mwanao nikaikuza nikaona ni dume la uhakika ila 60 si mchezo Hawachi shusha kidogo 😂😂😂

Kitendo cha kucheka umenipa maswali mawili kwa wakati mmoja je nimekosea swali au nimepatia 🤔
 
Back
Top Bottom