Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SANI ABACHA.
Sani Abacha alikua kiongozi wa saba kati ya majenerali wanane wa jeshi waliotawala kwa zamu taifa hilo kubwa barani Afrika.
Utawala wa Sani Abacha ulikua mgumu sana kwa wanigeria.
Ifahamike, Sani Abacha alipora madaraka toka kwa Kiongozi wa mpito Ernest Shonekani baada ya utawala wa Ibrahim Babangida kuchezea matokeo ya uchaguzi yaliyokua yanaelekea kumpa ushindi mfanyabiashara Moshood Abiola.
Uchaguzi wa mwaka 1993 kati ya waliokua marafiki wawili wa Jenerali Babangida, Bashir Tofa na Moshood Abiola ulivurugwa na Utawala wa Babangida baada ya Abiola kuhitilafiana na Babangida wakati wa kampeni.
FB_IMG_1553948728649.jpeg
 
Back
Top Bottom