Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
😀😀😀😀😀Kitumbua nayo ni K
Konokono nayo ni K...
😀😀😀😀😀Kitumbua nayo ni K
Konokono nayo ni K...
Salama kabisa.BL hujambo
"Mbona Lowassa baada ya kujiunga na CCM alikwenda Monduli kwa maandamano na mkutano wa hadhara?
Kuna watu wana haki na kuna watu wana haki zaidi (maalim seif)
teh teh teh
Pamoja na ubabe wake na mauaji ya kutisha aliyofanya, Dikteta Samuel Doe alikufa kifo kibaya sana.
Doe alikamatwa na jeshi la waasi chini Prince Johnson, akateswa, kisha akavuliwa nguo, akafungwa nyuma ya gari na kuburuzwa mitaani jijini Monrovia. Adhabu hiyo lilipelekea kifo chake September 9 1990.
Waswahili husema: "Ukiishi kwa upanga utakufa kwa Upanga"View attachment 1058027View attachment 1058044
Sent using Jamii Forums mobile app