Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Mimi muhenga ndugu amini.Mkubwa sana.
Mimi muhenga ndugu amini.Mkubwa sana.
Bradha BradhaHellow, umeamkaje?
Pesa zao wamelipwaWakulima wa korosho palizi la magugu muda ndio unaelekea ukingoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mali zingine huwa zinajihifadhi zenyewe tu hata usafiri miaka na miaka unakuwa huna wasiwasi kwa sababu mali haiingiliki wallahi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu uko mbali na mali zako, watu wanajitahidi kukuhifadhia mali zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa hatari sanaMaster Sergeant Samuel Kenyon Doe of Liberia.
Alitawala Liberia toka mwaka 1980-1990.
Samuel Doe aliingia madarakani baada ya kumuua rais William Talbart Jr akiwa na cheo cha chini kijeshi cha Master Sergeant.
Samuel Doe alitawala Liberia kwa ncha ya Upanga. Mara baada ya kuingia madarakani kwenye mapinduzi yaliyoshuhudia umwagaji mkubwa wa damu, Doe aliendelea kuua wanasiasa wengi hasa wale waliokua kwenye serikali ya TolbertView attachment 1057913
Nzuri mkuu mambo niajeKiongozi habari za weekend
Kazi ya prince JohnsonYeye mwisho wake ndo ulikuwa mbaya zaidi. Kukatwa dushe na masikio akiwa hai kisha kuburuzwa uchi nyuma ya jeep katika barabara za Monrovia huku umma ukishangilia...
Harakati nzuriKwema mzee wa liver vipi harakati
So sad viongozi wengi afrika wanafiki sanaKwenye madaraka hakuna kuaminiana. Compaore, rafiki yake waliyesoma pamoja na kufanya kila kitu kiswahiba sana ndiyo akaja kumgeuka na kumuua kisha kumzika kwenye kifusi cha tingatinga la Halmashauri kama mbwa.
Hata hivyo vijana baadaye walikuja kuvuvumka, wakamfurusha Compaore akakimbilia uhamishoni, wakafukua mwili wa shujaa wao na kumzika upya kwa heshima zote za kitaifa. Kaburi lake leo ndiyo ishara ya mapambano na vijana wakitaka kuandamana kudai haki zao hukusanyika kwanza katika kaburi la shujaa wao aliyewapa Burkina...
Hahahaha mengi kweli
Niambie wa Liver.Amani huko?Bradha Bradha
Haya ndugu...Mimi muhenga ndugu amini.
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1057962
MashalahaWikiendi mojawapo safi kabisa. Dua zenu wapendwa[emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1057968
Miss u