mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu furusa ni popoteMjasiriamali huyo
Mkuu furusa ni popoteMjasiriamali huyo
Amani sana mkuuNiambie wa Liver.Amani huko?
Tajiri kubwa sana LiberiaCharles Taylor, rafiki wa Samuel Doe aliyeanza chokochoko zilizopelekea kukamatwa baadaye kutekwa na kisha kuuwawa Samuel DoeView attachment 1057987
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap
Hahahaha nimerudi mwenye kaya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu uko mbali na mali zako, watu wanajitahidi kukuhifadhia mali zako
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHahahaha Duuuu, nimehisi aweza kuwa mgonga likes mwenzetu hapa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna udikteta mzuri, udikteta wa kila aina haufaiHivi aina nyingine ya udikteta mzuri kama wa kagame
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16], ulijaribu au basi tu lawama mzee baba[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mali zingine huwa zinajihifadhi zenyewe tu hata usafiri miaka na miaka unakuwa huna wasiwasi kwa sababu mali haiingiliki wallahi
Duh 🙉🙉🙉🙉Monrovia April 1980View attachment 1058011