mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha poti nyama ipo tayari kwa jikoAgiza na nyama choma hapo, nakuja kulipa!
Hahahaha poti nyama ipo tayari kwa jikoAgiza na nyama choma hapo, nakuja kulipa!
Long Distanceeee!!! sizitaki tena hizi..
Hahahaha poti nyama ipo tayari kwa jikoAgiza na nyama choma hapo, nakuja kulipa!
Hahahahahaha maelekezo yako mzee[emoji16][emoji16]unawaita wasiojulikana au memba wa Uzi huu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Nipo same hapa wanasema hawajaona mvua kipindi kirefu sana Leo mida hii inanyesha kubwa balaa na radi za kufa mtu
Nipo kiwanja kimoja wanaita Same Night Club kama kuna wadau hapa nipo kaunta kiti cha mwisho nakunywa konyagi
Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Jakitoo njoo huku unaitwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]I miss kitoo,