capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji16][emoji16][emoji16] vipi ? we unaziweza.. sexting
Hahahahahahahahahahahahahaha!
Dah! Huyu ni aina gani?Samaki mwenye ukubwa wa ajabu aonekana Bagamoyo,
Wavuvi wanaendelea kumfuatilia na ngalawa zaoView attachment 1058412
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu wimbo ni hatari sana, nilipousikia sikuamini kabisa!
Sasa hapo akiamua kuibuka ili kuvuta hewa hao wavuvi watasalimika?Samaki mwenye ukubwa wa ajabu aonekana Bagamoyo,
Wavuvi wanaendelea kumfuatilia na ngalawa zaoView attachment 1058412
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima itakuwa aina mojawapo ya nyangumiDah! Huyu ni aina gani?
Hahaha..Inabidi tufanye kwanza demo tuone kama naziweza! [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wana maneno bhana[emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1058185
Haifai hii. Ilimuua mshikaji hivi hivi yaani. Mara tumbo linauma. Mara tumbo lijae bila sababu. Mara hana hamu ya kula. Mara indigestion. Kuja kushtuka imeshaenea kila sehemu stage 4 tayari. Hovyo sana halafu ndiyo kwanza anagonga 31.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nipo bro...
Anaza andaeitini in da hausi?