Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo same hapa wanasema hawajaona mvua kipindi kirefu sana Leo mida hii inanyesha kubwa balaa na radi za kufa mtu
Nipo kiwanja kimoja wanaita Same Night Club kama kuna wadau hapa nipo kaunta kiti cha mwisho nakunywa konyagi
Hahahahahaha maelekezo yako mzee[emoji16][emoji16]unawaita wasiojulikana au memba wa Uzi huu[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…