Kucheck ni muhimu, wengi tunafata matibabu wakati ugonjwa ushakomaa.Haifai hii. Ilimuua mshikaji hivi hivi yaani. Mara tumbo linauma. Mara tumbo lijae bila sababu. Mara hana hamu ya kula. Mara indigestion. Kuja kushtuka imeshaenea kila sehemu stage 4 tayari. Hovyo sana halafu ndiyo kwanza anagonga 31.
Madea mtata sana!!Madea is no more
Kitanuka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa hapo akiamua kuibuka ili kuvuta hewa hao wavuvi watasalimika?
Si kwa elimu yetu hii mkuu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nimeona kitu kama kitumbua..[emoji16][emoji16]Mguu mmoja mwembamba kuliko mwingine ama? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1058400
Hahaha, mkuu kweli asisee lakini naamini tutafika sehemu japo changamoto ni nyingi sana!Si kwa elimu yetu hii mkuu [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Madea mtata sana!!
Lakini sijutii kuutemaHahahahahahahahahahahahahaha!
Mvinyo bwana una mambo yake!
Uliwezaje mkuu?