capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Aaah Wapi? Me hata majina yao siwajui!! Naona pichani tuu๐๐๐๐๐๐ nafuata nyayo zako Mkuu
Aaah Wapi? Me hata majina yao siwajui!! Naona pichani tuu๐๐๐๐๐๐ nafuata nyayo zako Mkuu
Aaah Wapi? Me hata majina yao siwajui!! Naona pichani tuu
Mzee baba Kate ni moto wa kuotea mbali, Wema hagusi hapo chochote!Ni kweli she must be smart! Huwa najiuliza huyu na Wema nani mkali, nani ana potential ya kumake money kupitia urembo wake?? Wema ni jinga flani hivi nikiwaza napata hasira sana!!
Ana mwenzake fulani anakaa Marekani ni mtaalamu wa make up anaitawa somebody Magala ni balaa!Uko vizuri Mkuu ndiye yeye huyo.
Simzungumzii wema wa sasa, namzungmzia wema miss Tanzania enzi zake.Mzee baba Kate ni moto wa kuotea mbali, Wema hagusi hapo chochote!
Mzee Baba Kate is a phenom, kuanzia kuchwani hadi mwilini, miaka nenda rudi yuko vilevile na kila siku anazidi kung'aa!Simzungumzii wema wa sasa, namzungmzia wema miss Tanzania enzi zake.
Mkuu hauna picha??Ana mwenzake fulani anakaa Marekani ni mtaalamu wa make up anaitawa somebody Magala ni balaa!
Ha hah!Mzee Baba Kate is a phenom, kuanzia kuchwani hadi mwilini, miaka nenda rudi yuko vilevile na kila siku anazidi kung'aa!
Karibu sana.Huu uzi umepata umaarufu wa kipekee. Hii inatoa picha kwamba ukitaka kuwa maarufu katika Jamii siyo lazima uwe unatoa mondo/Madini, vitu vitu tu, vidogo kidogo tu, vinatosha Kukuweka matawi ya juu.
Huyo mwanamke ni designer wa mavazi, yuko na makampuni makubwa ya nguo. Ila sasa ni moto wa kuotea mbali, akivaa kila nguo lazima ikae. Yaani anawapa presha hawa mabinti mastaa wa Afrika. Ngoja nilete picha zakeBAK lete picha za watajwa tafadhari!!
Sawa.Huyo mwanamke ni designer wa mavazi, yuko na makampuni makubwa ya nguo. Ila sasa ni moto wa kuotea mbali, akivaa kila nguo lazima ikae. Yaani anawapa presha hawa mabinti mastaa wa Afrika. Ngoja nilete picha zake
Ha hah!
Sawa Bro, ingawa natamani dada zetu wafanye vizuri zaidi.
Saivi sijui nani tanaye na anafanya poa??
BAK lete picha za watajwa tafadhari!!
Na elimu jamani inasaidia sanaWatafanya vizuri pale watakapojikubali na siyo kununu shepu, rangi ya ngozi na kuacha skendo za kipumbavu.
Mbona wakina Flaviana wanafanya vizuri mzee ???